Picha itafuata
Mabati
Bati la IT4 la Mikunjo
Bati la kawaida la mikunjo kwa paa za nyumba, unene kuanzia 0.13mm hadi 0.30mm.
Vipimo
- Umbo
- IT4 ya mikunjo
- Unene
- 0.13 – 0.30 mm
- Upana wa matumizi
- 820 mm
- Urefu
- Hukatwa kwa oda
- Mfuniko
- AZ100 alumini-zinki
Jumatatu–Ijumaa 8am–5pm · Jumamosi 8am–2pm
Mabati
Bati la kawaida la mikunjo kwa paa za nyumba, unene kuanzia 0.13mm hadi 0.30mm.